Martha Gichuki
FAMILIA TAKATIFU NI ILE YA KUMPENDEZA MUNGU
{Familia takatifu ni ile ya kumpendeza Mungu, (Hiyo) Ni familia inayodumu katika pendo la Mungu (x2)
Familia takatifu hujaa upendo na imara, inajaa amani tele na baraka za Mwenyezi Mungu(x2)}
1) Familia takatifu daima huamua na kutenda yaliyo mema; kama vile familia ya Mama Maria na Yosefu na Bwana Yesu
2) Familia iliyo takatifu ni daima inakuwa ni ya mapendo; kama vile familia ya Mama Maria na Yosefu na Bwana Yesu
3) Familia takatifu daima huamini kuwa sala ndiyo kimbilio; kama vile familia ya Mama Maria na Yosefu na Bwana Yesu
Want to get the Mitha Mugikuyu book? Click here to buy.
