Martha Gichuki
NITOE SADAKA GANI MIMI
{Nitoe sadaka gani mimi, Ili ikupendeze Muumba wangu.
Kwa huruma yako Mungu wangu, pokea sadaka ya unyonge wangu.
Ingawa ni kidogo, Bwana uipokee ibariki na uitakase}
[1]. Twaleta Mkate na Divai. Twaomba Bwana uvipokee
[2]. Na mazao ya mashambani, Twaomba Bwana uyapokee
[3]. Pokea na fedha twaleta,vyote ni mali yako pokea
[4]. Ee Bwana Mungu twakuomba, pokea pokea nyoyo zetu
Want to get the Mitha Mugikuyu book? Click here to buy.
