Martha Gichuki
HOLY CON – MEZA YA UPATANISHOOMMUNI
{Meza ya upendo na upatanisho; Meza ya heri na amani; imeandaliwa kwa ajili yetu njoni wote tuijongee x2}
1. Kwa upendo wake Yesu; kwa upendo wake Yesu; Amejitoa, kuwa chakula cha uzima wetu; Mwili damu yake Yesu ni uzima wa milele.
2. Ndani yake Yesu Kristu; zimo heri za mbinguni; Wanayo heri, wanayo heri wanaopokea; Mwili damu yake Yesu ni uzima wa milele.
3. Ndani yake Yesu Kristo kuna tunu za mbinguni; Upatanisho, wetu na Mungu upo ndani yake; Mwili damu yake Yesu ni uzima wa milele.
Want to get the Mitha Mugikuyu book? Click here to buy.
